50 Bing Coupons

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Sunday, 29 September 2013

bwawa la maini oye! Suarez arudi na kupiga bee kati ya 3 dhidi ya 1 la Sunderland leo

Posted on 11:38 by Unknown
Mshambuliaji wa Uruguay Luis Suarez akishangilia leo baada ya kurudi kwa kishindo kwenye ligi Kuu ya Uingereza baada ya kupiga mabao mawili wakati Bwawa la Maini likiipiga Sunderland bao 3-1 na kuruka hadi nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo.
Akicheza kwa mara ya kwanza toka April 21 kutokana na kufungiwa michezo 10 kwa kumng’ata mtu, Suarez aliona nyavu mara mbili baada ya kutengenezewa na Daniel Sturridge, ambaye alifunga bao la kwanza akiwa ndani ya sita.
Emanuele Giaccherini  alirudisha moja lakini Bwawa la maini waligangamara, na endapo kama Liva ingeshinda 2-1 wangebaki katika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi, lakini bao la tatu la Suarez limewanyanyua.
Suarez alirejea rasmi wiki iliyopita wakati Bwawa la Maini lilipokipiga na Man U na kufungwa kwa bahati mbaya bao 1-0, ila mchezo wa leo ulikuwa wa kwanza kwake na kaonesha yeye na Sturridge ni ‘mapacha’ wenye sumu kali uwanjani.

CHEKI MSIMAMO HADI SASA. 
MAN U MLIE TU MWAKA HUU...


1Arsenal6615
2Liverpool6413
3Tottenham6413
4Chelsea6411
5Southampton6311
6Man City6710
7Hull6-110
8Everton529
9Aston Villa619
10West Brom618
11Cardiff6-18
12Man Utd607
13Swansea6-17
14Norwich6-27
15Stoke6-27
16Newcastle5-37
17West Ham6-15
18Fulham6-54
19Crystal Palace6-63
20Sunderland6-101


Email ThisBlogThis!Share to XShare to Facebook
Posted in | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

Blog Archive

  • ▼  2013 (500)
    • ►  October (22)
    • ▼  September (478)
      • HIKI HAPA KILIO CHA WANAFUNZI WA UDAKTARI BUGANDO...
      • No title
      • BREKING NYUUZZZZZZ: SERIKALI YA MAREKANI YAFUNGA S...
      • No title
      • NATURAL PRODUCTS FOR your skin
      • SIKU YA UTALII DUNIANI YENYE KAULI MBIU UTALII NA ...
      • President Kikwete sends Congratulatory Message to ...
      • WAKAZI WA KIKUYU KUSINI WAANDAMANA KUPINGA BOMOABO...
      • ngoma azipendazo ankal
      • wadau farida na paul wameremeta
      • ACCT members attend Master Builders South Africa C...
      • magari yanauzwa
      • Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali Bw L...
      • Spika Makinda apongeza Mabunge ya Afrika kwa kuong...
      • KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA JOHN CASMIR MINJA AH...
      • dk shein aagana na balozi wa marekani aliyemaliza ...
      • KATIBU MKUU UTUMISHI, Bw. GEORGE YAMBESI AFUNGUA M...
      • Maalim Seif aifunga rasmi Ijtimai ya Kimataifa ili...
      • HOJA YA HAJA: TUIENZI AMANI YETU KWA GHARAMA YOYOT...
      • MWIGULU NCHEMBA KUNDURUMA NDANI YA LONDON UINGEREZA
      • mwenge wa uhuru watua jijini mbeya
      • MBUNGE WA VITI MAALUMU TABORA,MH MUNDE TAMBWE ADHA...
      • JK arejea nyumbani kutoka Canada na Marekani
      • JK alipohudhuria Mkutano wa Kukabiliana na Ujangil...
      • Globu ya Jamii yakuletea Exclusive Intavyuuu na Re...
      • KANYABOYA LINGINE LAIBUKA DAR,WADAU KAENI CHONJO
      • WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU AIPONGEZA VODA...
      • TIMU YA WIZARA YA AFYA YATINGA ROBO FAINALI - SHIMIWI
      • SAGCOT CEO meets with the US journalists
      • Redd’s Miss Tanzania 2013/14 atembelea TBL leo
      • KONGAMANO LA WAZEE WASTAAFU LAFANYIKA ZANZIBAR
      • ufunguzi Mkutano wa Chama cha Kimataifa cha Taasis...
      • AJALI ZAPUNGUA MKOANI IRINGA
      • MWAKALEBELA AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 13 M...
      • MAALIM SEIF AWATAKA WAISLAM NCHINI KUUNGA NA KUSHI...
      • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMIRI J...
      • Japanese Grant for the Food Security Project for U...
      • ACCT members attending Master Builders South Afric...
      • Awamu ya pili ya chakula cha hisani cha Taasisi ya...
      • MHE. MWIGULU NCHEMBA AWAKUNA WENGI DMV.
      • MWENGE WAZINDUA UJENZI WA OFISI YA KATA TANDALA WI...
      • WAZIRI CHIKAWE ATEMBELEA GEREZA KUU LA ISANGA,MKOA...
      • MKUTANO WA CCM CHWAKA UNGUJA
      • TAARIFA YA MSIBA
      • SingTel Group and Samsung partner to enhance mobil...
      • TIC yawahakikishia wawekezaji ushirikiano zaidi
      • DIAMOND ALIVYOWAKUNA MASHABIKI WAKE NDANI YA GOLD ...
      • KAPOTIVE STAR SINGER-S BUKOBA KUWASHA MOTO JIJINI ...
      • TFDA YAENDESHA KAMPENI YA UTUMIAJI WA VYAKULA VILI...
      • Wakazi wa eneo la hifadhi ya Ngorongoro wapokea ch...
      • AZANIA BANK YACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI SHULE Y...
      • United States 2015 Diversity Visa Program Now Open
      • OPERESHENI KIMBUNGA AWAMU YA PILI YASHIKA KASI KAT...
      • mdau mugassa mwenda ahojiwa na BBC kwa kufurahishw...
      • Airtel yawanoa maafisa waTRA jinsi ya kulipia ada ...
      • NAIBU WAZIRI FEDHA AKAGUA UJENZI WA BARABARA VISIW...
      • 2013 Young Achievers Awards Nomination Open!
      • No title
      • IN LOVING MEMORY of DORA HOSEA TALAWA 1ST ANNIVESSARY
      • ngoma azipendazo ankal
      • TAARIFA YA MSIBA WA MAMA ROSE HEINRICH SANGIWA MATAJI
      • FRANSIC MIYEYUSHO AMTWANGA SADIK MOMBA KWA POINTI
      • Waziri Membe akutana kwa mazungumzo na Wafanyakazi...
      • Mahojiano ya JK na radio ya umoja wa mataifa, New ...
      • J&M Virgo washusha mali mpya
      • Daktari wa Rais Kikwete kupima afya na kuwapa lese...
      • MWENGE WA UHURU WATUA MAKETE
      • Swali la kizushi: Je ni mkono upi unaofaa kuvalia ...
      • No title
      • No title
      • introducing Mchaga na pesa by KiwaStrond ft. Banx
      • bwawa la maini oye! Suarez arudi na kupiga bee kat...
      • HARAMBEE KUCHANGIA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA KUS...
      • introducing 'Ni Noma' by Go Getta of the night cra...
      • MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ...
      • Ubalozi wetu zambia na wajisiriamali wa Tanzania w...
      • Grace aikaeli Mbowe na mumewe wafariki kwa ajali ...
      • Simba yaibanjua Ruvu JKT 2-0 leo neshno
      • KANISA LA TGMIT LAFANYA IBADA MAALUMU KUIOMBEA AMA...
      • ZUMBA KUKWE AMSHINDA HAMADUU MWALIMU KWA KO RAUNDI...
      • TANZIA: Msiba wa Bi ROSE HENRISCH SANGIWA MATAJI
      • Sherehe za kufunga mafunzo katika kikosi cha 842 ...
      • Benki ya posta Tanzania tawi la Songea yaipiga jek...
      • GLOBAL LANGUAGE NETWORK (GLN) ILIYOFANYIKA WASHING...
      • TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO NI KWELI KWAMBA LIMEPOTE...
      • No title
      • Tanzanian Minister of Defence Meets Governor of So...
      • UPANUZI WA BARABARA YA BENDERA TATU HADI KAMATA KU...
      • MISS UTALII TANZANIA KUTANGAZA NYATI WA AJABU NA ...
      • Cheka unenepe
      • WAFANYAKAZI WA IDARA MBALI MBALI ZA SERIKALI WACHU...
      • Kiwanda cha kuzalisha malighafi za kutengeneza Gil...
      • MAMA SALMA KIKWETE APEWA URAIA WA HIARI WA JIMBO L...
      • MKUTANO WA SIKU TATU WA MAOFISA WA JUU WA JESHI LA...
      • NBC YATENGA SIKU MAALUMU KUWASHUKURU WATEJA WAO
      • Serikali yabariki tamasha la Utamaduni Handeni
      • Matukio zaidi ya Mhe. Rais Kikwete alipolihutubia ...
      • ngoma azipendazo ankal
      • chemsha bongo...
      • cassim mganga akitumbuiza kwenye tamasha la fiesta...
      • TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 LIKIENDELEA USIKU...
      • kipanya
      • msondo ngoma ndani ya leaders club jijini dar kila...
      • Taswirazz Mwanana za kuzama kwa jua jioni ya leo
      • Katiba ni Mwafaka wa Kitaifa. Viongozi zungumzeni
      • LULU AFUNGUKA YA MOYONI KWENYE SEMINA YA FURSA KWA...
      • Mhe George Simbachawene atoa mada katika Kongamano...
      • yanga faifunga ruvu shooting stars, mrisho ngassa ...
      • NEWS ALERT:Magazeti ya Mwananchi na Mtanzania yafu...
      • Huyu ndie Mrembo wa Dunia (Miss World 2013) kutona...
      • Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe Stephen Mas...
      • USAILI WA TANZANIA TOP MODEL UNAENDELEA KANDA YA K...
      • KUNDI LA UMOJA CULTUAL LIKITOA BURUDANI WAKATI WA ...
      • VIJANA 14 Nyota wa mpira wa kikapu wajiandaa kwend...
      • TPA yaadhimisha siku ya Siku ya Bahari Duniani jij...
      • wakazi wa mwanza wachangamkia semina ya kamata fur...
      • Vote for Mohammed Dewji as Person of the Year at F...
      • MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA UTALII DUNIANI Y...
      • JK AHUTUBIA MKUTANO WA 68 WA UMOJA WA MATAIFA JIJI...
      • Bang! Magazine issue is now out
      • MBUNGE MSIGWA AMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA MKAKATI W...
      • TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO NI KWELI KWAMBA LIMEPOTE...
      • Rais Kikwete ahutubia Umoja wa Mataifa New York, a...
      • Mhe amos makala katika ziara ya kikazi afrika ya ...
      • maadhimisho Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani y...
      • BRITISH Foreign Secretary welcomes UN IPCC report ...
      • No title
      • bei ya madafu leo
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile