Mwenyekiti wa timu ya soka ya Mlale Jkt Capt. Gerald Rwenyagira (kushoto) akipokea msaada wa fedha shilingi 1,000,000 kutoka kwa kaimu meneja wa Benki ya Posta Taqnzania tawi la Songea Bw. Frumence Mushi ili ziweze kuisadia timu hiyo wakati huu ambapo inakabiliwa na mashindano ya ligi daraja la kwanza Tanzania Bara.
Baadhi ya ya viongozi wa timu ya soka ya Mlale Jkt wakiwa katika picha ya pamoja na uongoizi wa Benki ya posta Tanzania tawi la Songea katika hafla fupi ya kupokea msaada wa fedha taslimu shilingi 1,000,000 kutoka kwa Benki hiyo mjini Songea. Picha na Muhidin Amri
0 comments:
Post a Comment