Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisikiliza mawaidha kabla ya kuifunga rasmi Ijtimai ya Kimataifa iliyofanyika Sumbawanga, Mkoani Rukwa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu, kabla ya kuifunga rasmi Ijtimai ya Kimataifa iliyofanyika Sumbawanga, Mkoani Rukwa.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na masheikh na waislamu mbali mbali, baada ya kuifunga rasmi Ijtimai ya Kimataifa iliyofanyika Sumbawanga, Mkoani Rukwa.
Picha na Salmin Said, OMKR
0 comments:
Post a Comment