MH. MUNDE TAMBWE MBUNGE WA VITI MAALUMU TABORA NA MJUMBE WA NEC AMBAYE NDIYE MDHAMINI MASHINDANO HAYO YA KUWASAKA NYOTA WA KUIMBA, MICHEZO YA MASUMBWI YA NGUMI, KARATE, MASHINDANO YA BAISKELI, BAO NA KU-DANCE YALIYOFANYIKA LEO KATIKA VIWANJA VYA STENDI YA ZAMANI YA MABASI.
ZAWADI ZOTE ZIMEGHARIMU TSH 6.7 MILIONI, ZILIZOENDA KWA WASHINDI WA MBIO ZA BAISKELI, MCHEZO WA BAO, WACHEZA MUZIKI, MASUMBWI, KARATE, NA KUIMBA. MH. MUNDE AMBAYE YEYE NDIYE MDHAMINI AMEAHIDI KUBORESHA SHINDANO HILO KWA MSIMU UJAO KWA KUUTAMBUA MWITIKIO WA WATU WALIOJALI NA KUJITOKEZA KATIKA MASHINDANO HAYO.

MCHEZO WA KARATE
WASHIRIKI WA MBIO ZA BAISKELI, WAKISHINDANA KUENDESHA BAISKELI KUTOKA KIWANJA CHA STENDI YA ZAMANI YA MABASI HADI KATIKA KIWANJA CHA NDEGE NA KURUDI. WASHINDI WATANO WA KWANZA WALIKABIDHIWA BAISKELI MPYA AINA YA PHOENIX.
MWANADADA HUYU ALIIBUKA NYOTA WA KUIMBA NA KUKABIDHIWA KITITA CHA LAKI TATU (300,000) HUKU AKISUBIRI KUPELEKWA THT (TANZANIA HOUSE OF TALENT) KWA MAFUNZO NA KUBORESHA MZIKI WAKE IKIWA NI PAMOJA NA KUFANYA BAADHI YA KAZI ZA KIMZIKI KIMKATABA
BAADHI YA MAJAJI,PICHANI KUSHOTO NI ALLY NIPISHE, ALLY BAUCHA PAMOJA NA ADAM FUNDIKIRA.
0 comments:
Post a Comment