WASHIRIKI wa Kongamano la Jumuia ya Wazee wastaafu, wakulima na wafanyakazi Zanzibar wakimsikiliza mtoa mada ya Historia ya Zanzibar , Ramadhan Suleiman Nzori (hayupo pichani) konamano hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani uliopo Kikwajuni mjini Zanzibar.
MTEMBEZI Moshi Said, akichangia katika Kongamano la Jumuia ya Wazee wastaafu,wakulima na wafanyakazi Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani uliopo Kikwajuni mjini Zanzibar.
TALIB Aboud Talib, akichangia katika Kongamano la Jumuia ya Wazee wastaafu,wakulima na wafanyakazi Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani uliopo Kikwajuni mjini Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
0 comments:
Post a Comment