Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Wanachuo kutoka Afrika Mashariki Wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Ghent cha Ubelgiji alipowatembelea kuwajulia hali hapo chuoni.
Saturday, 21 September 2013
Balozi Kamala atembela Wana-Afrika Mashariki Wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent, Ubelgiji
Posted on 13:03 by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment