Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akitia saini Kitabu cha Maombolezo cha waliopoteza maisha katika tukio baya la kigaidi lililotokea nchini Kenya. Balozi Kamala ametia saini katika Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa Kenya Ubelgiji.
Thursday, 26 September 2013
Balozi Kamala atia Saini Kitabu cha Maombolezo ubalozi wa Kenya, Ubelgiji
Posted on 06:50 by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment