Baadhi ya viongozi waliochaguluwa kuendesha chama cha mchezo wa masumbwi Mkoa wa Dar es salaam DABA wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa uchaguzi huo Zuwena Kipingu katikati pamoja na mwangalizi mkuu wa uchaguzi Remmy Ngabo kulia. |
Mwenyekiti wa Mkutano wa Uchaguzi wa viongozi wa mchezo wa Masumbwi Mkoa wa Dar es salaam Zuwena Kibena katikati akizungumza baada ya kumalizika uchaguzi huo na kupatikana viongozi wake. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI |
0 comments:
Post a Comment