Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Prof. Costa Mahalu akizungumza wakati wa uzinduzi wa kozi mpya ya kuwanoa watetezi wa haki za binadamu katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki inayojulikana kwa jina la ‘Akiba Uhaki’, iliyofanyika Kawe Beach jijini Dar es Salaam juzi. Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila, Mkuu wa kitivo cha Sheria cha Chuo hicho, Dk. Natujwa Mvungi na Mratibu wa Programu ya taasisi ya Akiba Uhaki, Kepta Ombati.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Mercy Sila ambaye alikuwa mgeni rasmi akizungumza katika hafla uzinduzi wa kozi mpya ya watetezi wa haki za binadamu katika nchi za Afrika Mashariki.
Baadhi ya wadau wakiwa katika hafla hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
0 comments:
Post a Comment