Mrembo Megan Young kutoka nchini Philippino,leo afanikiwa kunyakua Taji la Mrembo wa Dunia (Miss World 2013) katika onyesho kubwa lililomalizika hivi punde huko nchini Indonesia.Mshindi wa Pili katika Taji hilo ni Marine Lorphelin kutoka nchini Ufaransa na watatu ni Kutoka nchini Ghana,Carranzar NaaOkailey Shooter.
Akisalimia mara tu baada ya kutangazwa mshindi.
Shangwe kwa pamoja.
Akisalimia mara tu baada ya kutangazwa mshindi.
Shangwe kwa pamoja.
Mratibu wa mashindano ya Redd's Miss Tanzania, Hashim Lundenga (wa tatu kulia) akiwa na wadau wa masuala ya urembo, wakishuhudia live kupitia kwenye luninga kilele cha mashindano ya Miss World 2013 jioni hii kwenye mgahawa wa City Sports & Lounge, Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mwandaaji wa Redd's Miss Temeke, Benny Kisaka, Mr University 2002, Chuma Matokeo na kutoka kushoto ni Mratibu wa Uhusiano wa mashindano hayo, Innocent Melleck na Albert Makoye ambaye ni Mkuu wa Itifaki wa mashindano hayo.
Katibu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa (katikati) akiwa na warembo Glads Shao (kulia) na Latifa Mohamed, wakishuhudia mpambano huo wa Miss World uliokuwa unafanyika nchini Indonesia.
0 comments:
Post a Comment