Rais wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete alipokutana na mpiganaji SundayShomari wa VOA siku ya Jumatano kwenye ofisi za ubalozi washington Dc. 

Rais Kikwete akiwa na Dr.Mwamoyo Hamza mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania. Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
0 comments:
Post a Comment