Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania katika umoja wa Mataifa New York nchini Marekani wakati alipowasili New York Marekani leo akitokea Toronto Canada alikotunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontarion.Picha na Freddy Maro
Saturday, 21 September 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment