MAREHEMU MZEE STANSLAUS PAULI MBUYA |
BABA YETU MPENDWA LEO TAREHE 26/09/2013 UMETIMIZA MIAKA MINNE TANGU MWENYEZI MUNGU ALIPOKUITA KWENYE MAKAO YAKE YA MILELE.
PENGO ULILOTUACHIA HALIWEZI KUZIBIKA KAMWE. UNAKUMBUKWA SANA NA MKE WAKO MPENDWA MAMA FAUSTER, WATOTO WAKO, WAJUKUU, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WA KARUMELI KIRUA VUNJO-MOSHI.
NI MTU YUPI AWEZAYE KULIJUA SHAURI LA MUNGU? “HEKIMA YA SULEIMANI 9:13 – 14”, “AYUBU 1:21 – 22”.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE, APUMZIKE KWA AMANI - AMINA.
0 comments:
Post a Comment