MAMA AGNES T. ANDREA WENGAA:
20/09/2012 - 20/09/2013
Mama, Leo tarehe 20/09/2013 umetimiza Mwaka Mmoja tangu Mwenyezi Mungu alipokutwaa toka hapa Duniani.
Kila siku ipitayo tunaona kama ni jana tuu. Unakumbukwa sana na mume wako,watoto wako,wakwe zako,wajukuu,wadogo zako,ndugu,jamaa na marafiki wote.
Sote Tunakuombea sana upumzike kwa Amani-Milele.
WARUMI 14: "Kwa maana kama tukiishi,twaishi kwa Bwana,au kama tukifa twafa kwa Bwana. Basi,kama tukiishi au kama tukifa tu mali ya Bwana".
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
Your son Desderi J Wengaa
0 comments:
Post a Comment