Leo Siku ya kuzaliwa mwanamuziki Kamanda Ras Makunja,kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU yenye maskani kule Ujerumani.
Siku kama ya leo 19.September wazazi wawili Bi.Moza Hassan Mpili (Mama) na Mumewe marehemu Bw.Jumanne Saleh Makunja(Baba) walijaaliwa kupata mtoto wao Ebrahim Jumanne Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja wa FFU.
Tunamtakia kila la heri Kamanda Ras Makunja katika siku yake ya kuzaliwa. Happy Birthday To You Kamanda Ras Makunja
Pata burudani at www.ngoma-africa.com
or htt://www.ngoma-africa.com
0 comments:
Post a Comment