Majina 6 ya Washukiwa wa Shambulizi la Kigaidi ndani ya Jengo la WestGate jijini Nairobi,Kenya yameripotiwa na kituo cha Televisheni cha K24 huko Kenya bila kueleza chanzo cha upatikanaji wa majina haya. Hawa ni baadhi kati ya magaidi wote waliopo ndani ya Jengo hilo.
Tuesday, 24 September 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment