Suala la vikundi vya waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo likiwemo kundi la M23 na wanamgambo wengine kama Mayi-Mayi na FDLR badi ni changamoto kwa jumuiya ya kimataifa kama lilivyo suala la kupata suluhu ya kisiasa nchini Misri baada ya kupinduliwa Rais Mohammed Morsi.
Hayo yamejiri katika mkutano wa ngazi ya juu wa viongozi kwenye baraza Kuu la Umoja wa mataifa.
Ili kuyachambua kwa undani yaliyojitokeza kuhusu nchi hizo mbili Flora Nducha wa Idhaa ya Kiswahili ameketi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Mhe. Bernad Membe
Kusikiliza mahojiano haya tafadhali bofya: http://www.Radio.un.org/sw
AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe nenda: https://cms.unmultimedia.org/ radio/sw/2013/09/suala-la-dr- congo-na-misri-bado-ni- changamoto-kwa-jumuiya-ya- kimataifa/
0 comments:
Post a Comment