Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Amos Makala yupo ziarani Afrika ya Kusini kwa Mwaliko wa Naibu Waziri Ofisi ya Rais (uratibu na tathimini) Mhe Obed Bapela (liyenyoosha mikono)Madhumuni ya ziara ni kushirikiana katika kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana pamoja na kubadilishana uzooefu juu ya kutafutia uvumbuzi tatizo la Ajira kwa vijana na Athari za madawa kulevya
Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Amos Makala ambaye yupo ziarani Afrika ya Kusini na ujumbe wake akioneshwa maeneo mbalimbali ya jengo la Union na mwenyeji wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais (uratibu na tathimini) Mhe Obed Bapela

Naibu waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe Amos Makala ambaye yupo ziarani Afrika ya Kusini na ujumbe wake wakiwa na mazungumzo na mwenyeji wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais (uratibu na tathimini) Mhe Obed Bapela. Kushoto ni Dkt. Bernice Halgala, Mkurugenzi vijana AfAFRrika Kusini na kulia ni Dkt Dr Steven kisui, Mkurugenzi wa Vijana katika Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
0 comments:
Post a Comment