Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. George Simbachawene alipokuwa akitoa mada katika
Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Kaskazini kinacArusha, Manyara, Kilimanjaro na Tanga
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene na - Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Aggrey Mwanri wakiteta jambo katika Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Kaskazini katika Jiji la Tanga. Wengine kulia ni Bw. Hassan Shamte wa Mkonge na Bi Juliet Rugeiyamu-Kairuki, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC). Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe Henry Shekifu
0 comments:
Post a Comment