Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi akifungua warsha hiyo iliyowajumuisha Wenyeviti wa halmashauri za wilaya, wakurugenzi wa Halmashauri, Madakatari wakuu wa Wilaya, Maofisa elimu na waratibu wa wilaya wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele.warsha hiyo ilifanyika kwenye ukumbi wa Mt. Gasper, mjini Dodoma.
Mratibu wa Taifa wa mpango wa Kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Upendo Mwingira akiwasilisha mada kwa watendaji wa Mkoa wa Dodoma na Wilaya zake (hawapo pichani).Warsha hiyo ilifunguliwa na Mkuu wa Mkoa Dkt. Rehema Nchimbi na iliwajumuisha Wenyeviti wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya, Waganga Wakuu wa Wilaya, Maofisa Elimu na Mipango wa Wilaya pamoja na Waratibu wa Wilaya za Dodoma.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma (aliyekaa katikati), akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa warsha hiyo.
0 comments:
Post a Comment