Aliekua mpiga mpicha wa kujitegemea kutoka ‘The best photo studio’ mjini Chake chake Pemba, Ali Khatibu Haji (28) akiwa kazini hivi karibuni kabla ya kukumbwa na umauti katika ajali ya gari usiku wa kumkia juzi 19.9.2013 eneo la benki ya watu wa Zanzibar, mjini Chake chake Pemba. Globu ya Jamii inatoa mkono wa rambirambi kwa wafiwa na wanahabari wa Zanzibar kwa msiba huu mzito.
Mola na aiweke roho ya
marehemu pahala pema peponi
-AMIN
0 comments:
Post a Comment