Baada ya Ney wa Mitego kumdisi Haji Ramadhani kwenye wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Salam zao,Haji sasa anasema hajafuria na anaishukuru BSS na huu ni wimbo wake mpya aliofanya chini ya studio za Jaraman Record iliyopo kinondoni na video chini ya Apex Video by Pablo. Haji anapenda kuwafahamisha mashabiki wake kuwa wakae mkao wa kula kwa sasa anaandaa Movie yake ya kwanza ambapo ni moja ya kuonesha uwezo wake kwenye upande wa kuigiza. Nashukuru Mungu Video yangu ina wiki moja mpaka sasa na inafanya vizuri kwenye Tv stesheni za Tanzania na nnje pia.
0 comments:
Post a Comment