Ndugu Francis Joseph Assenga ambaye ni mfanyakazi katika Benki Kuu ya Tanzania (katikati) mara baada ya kuchaguliwa kushika nyadhifa za Rais wa UNI Africa Professional & Managers na Vice-President UNI Global Professionals & Managers Committee kwenye Hotel ya Hilton Mjini Nairobi. Kulia kwake ni Rais wa Kamati ya Dunia Bwana Ulf Bengtsson akifuatiwa na Mkurugenzi wa UNI Global Professionals & Managers Bwana Pav Akhtar na Kushoto kwa Bwana Assenga ni Makamu Rais UNI Africa Professional & Managers Mama Olasanoye Oyinkan kutoka Nigeria, akifuatiwa na Wagombea wengine wa Urais ambao ni Ousmane Diagne kutoka Senegal na Pierre Louis Mouangue kutoka Cameroun.
Ndugu Francis Josseph Assenga (kushoto) akipongezwa na Mwakilishi wa Rwanda Bwana Alexis kwenye Mkutano wa Bara la Afrika wa Kamati ya Wataalam na Mameneja na Makamu wake Olasanoye Oyinkan wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa UNI Africa Professional & Managers kwenye Hotel ya Hilton Mjini Nairobi.
0 comments:
Post a Comment