Askari wa jeshi la polisi Afande Mwijage akitoa somo la Uraia kwa watoto waliyokuja kuiangalia helikopta kijiji cha Benako wakati wa Doria ya kusaka wahamiaji haramu na mifugo yao katika pori la Kimisi Wilayani Ngara leo asubuhi, ikiwa ni mwendelezo wa awamu ya pili ya Opereshani Kimbunga ambayo imeshaanza .
Tuesday, 24 September 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment