
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea Maghala ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arusha . Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na Ushirika, Mhe Adam Malima.

Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akikagua akiba ya mahihindi wakati alipotembelea Maghala ya Kitengo cha Usalama wa Chakula, (NFRA) mjini Arusha. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, chakula na Ushirika, Mhe Adam Malima.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment