Makamu Mwenyekiti wa kundi la wabunge wa Tanzania wanaojihusisha na hifadhi endelevu ya maliasili na matumizi endelevu ya mazingira (TPGSNRC), Othman Mfutakamba akiangalia meno ya tembo wakati wa maadhimisho ya siku ya tembo kitaifa iliyokuwa na kaulimbiu ‘Jiunge katika mapambano dhidi ya ujangili wa tembo’ yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja wa bia ya Ndovu, Pamela Kikuli na askari wa wanyamapori, Emmanuel Katambi.
Gari la Maliasili likiwa limebeba Meno ya Tembo, wakati wa kujiandaa na Maandamano kuelekea Mlimani city kwa ajili ya maadhimisho hayo
Msanii wa Muziki wa Kitanzania Mrisho Mpoto akianza kuongoza maandamano kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam Kuelekea Ukumbi wa Mlimani City leo.
0 comments:
Post a Comment