Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Mh. Jaji Aloysius Mujulizi (Kulia) akimkabidhi zawadi aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Mh. Jaji Profesa Ibrahim Juma katika hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika Dar es Salaam.
Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Profesa Sufian Bukurura akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumuaga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Mh. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Profesa Ibrahim Juma.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Profesa Ibrahim Juma akitoa shukurani zake kwa viongozi na watumishi wa Tume wakati wa hafla ya kumuaga rasmi iliyofanyika Dar es Salaam.
Watumishi wa Tume wakiwa katika hafla hiyo (Picha na Munir Shemweta wa LRCT)
0 comments:
Post a Comment