Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa akimkaribisha Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Mh. Jaji Aloysius Mujulizi ofisini kwake mkoani Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa akiwa na ujumbe wa Tume ulioongozwa na Mwenyekiti Mh. Jaji Mujulizi (wa pili kushoto), Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida B. Korosso ( wa pili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bw. Peter Kalonga ( wa kwanza kushoto) na Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Bw. Benedict Ole Kuyan akizungumza wakati Katibu Mtendaji wa Tume Bi. Winfrida Korosso alipomtembelea ofisini kwake mkoani Tanga wakati Tume ikiwa katika Kikao chake cha Baraza la Wafanyakazi mkoani humo, Kulia ni Katibu Msaidizi wa Tume Bi. Agnes Mgeyekwa (Picha Zote na Munir Shemweta- LRCT)
0 comments:
Post a Comment