Mwenyekiti wa TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, Bi. Asha Ngoma akionyesha cheti cha Uvumbuzi kilichotolewa na serikali mwaka 1984, mbele ya waandishi wa habari, katikati ni Mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite, Kulia ni Bw. Baraka Msuya, Mjumbe wa taasisi. Bi. Ngoma amesema azma ya taasisi hiyo ni kuwawezesha vijana kupata utaalam (elimu), Kuwawezesha kupata nyenzo za uchimbaji madini NA Kuenzi na Kuhifadhi historia ya uvumbuzi wa madini ya TANZANITE kwa faida ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Mwenyekiti wa TANZANITE FOUNDER FOUNDATION, Bi. Asha Ngoma akikifanunua jambo kuhusu shughuli za taasisi akiwa pamoja Mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite na Bw. Baraka Msuya, Mjumbe wa taasisi.
0 comments:
Post a Comment