Mtalamu wa mambo ya Habari kutoka Smole Bw. Ali Rashid Salim akifahamisha kitu katika mafunzo ya wandishi wa Habari juu usajili wa Ardhi,katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo.
Afisa mtambuzi wa Ardhi Unguja Shawana Soud Khamis akitoa elimu ya Utambuzi, kuisajili na kuitumia Ardhi kwa wandishi Habari katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo.
Baadhi ya wandishi Habari wa vyombo mbalimbali wakisikiliza kwa makini mafunzo yanayotolewa na Mtalamu wa mambo ya Habari kutoka Smole Bw. Ali Rashid Salim (hayupo pichani) katika ukumbi wa Wizara ya Habari kikwajuni Mjini Unguja leo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment