Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akizungumza katika hafla fupi na wanamichezo watakaiyoiwakilisha Utumishi katika mashindano ya SHIMIWI mwaka huu mapema.
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu akiwapa mbinu za kimichezo wanamichezo watakaoiwakilisha Utumishi katika mashindano ya SHIMIWI mwaka huu wakati wa hafla fupi ya kuwaaga mapema leo.
Baadhi ya wanamichezo wa Utumishi na viongozi wao wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) wakati hafla fupi ya kuwaaga mapema leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Utumishi itakayoshiriki michezo ya SHIMIWI mwaka huu mara baada ya hafla fupi kuwaaga mapema leo ofisini kwake.
0 comments:
Post a Comment