![]() |
| Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mwenyeji wao Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 68 wa Umoja wa Mataifa jijini New York. Picha kwa Hisani ya Rae Lynn Wargo wa Umoja wa Mataifa. |
Tuesday, 24 September 2013
JK na mama salma wakutana na Michelle na Barack Obama na melinda gates
Posted on 19:14 by Unknown
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment