Taswira za jinsi moto ulivyoacha madhara makubwa kwa wenye misitu hii wilayani Makete baada ya kuteketeza miti na mimea mingine iliyokuwa katika eneo hilo. Haijafahamika mara moja nini chanzo cha moto huo. PICHA ZOTE NA EDWIN MOSHI, WA GLOBU YA JAMII
Tuesday, 24 September 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment