Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt.seif S.Rashid (Mb) akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Sherehe hizi zinafanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando jijini Mwanza muda huu. Sherehe hizi zinafanyika leo na kesho ambapo shughuli nyingine ni pamoja na uchunguzi wa Maradhi ya moyo bila malipo.
Picha na mdau Martin Elias
Picha na mdau Martin Elias
0 comments:
Post a Comment