Mh Mwigulu Nchemba MB
Chama cha mapinduzi Washington DC, Virginia na maryland tunapenda kuwatangazia na kuwakaribisha siku ya Jumapili tarehe 29/9/13 kuanzia saa 9 jioni ukumbi 1401 Universty of blvd MD 20783 Langley Park [ mirage hall] Mh Mwigulu Nchemba MB na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi atazungumza na Watanzania maswala mbali mbali yanayowagusa watanzania walio nje na maendeleo ya taifa letu kwa ujumla shime watanzania wote kuhudhuria
0 comments:
Post a Comment