

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama sketi iliyoshonwa kwa mtindo wa vazi la asili la watu wa Hanang wakati alipotembelea banda la Wilaya hiyo katika maonyesho yaliyoambatana na Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Kaskazini lililofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye hoteli ya Mkonge Mjini Tanga Septemba 26, 2013. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mku, Uwezeshajina Uwekezaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr.Mary Nagu, Wapili Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa na wapili kulia ni Mkuu wa WIlaya ya Hang, Christina Mdeme


Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wakimsikiliza Waziri mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano lao kwenye hoteli ya Mkonge mjini Tanga.
Picha na ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment