Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa Afrika Bw.Perin Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa Afrika Bw.Perin Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wa Kusini na mashariki mwa Afrika Bw.Perin Saint Ange,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo asubuhi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
0 comments:
Post a Comment