Meneja Masoko wa Kampuni ya Intermech Engineering Ltd, David Chisawilo ( kulia) akimwonesha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Benderai ( kaikati) , mashine ya kupukucha mahindi inayotumia mkono inayotengezwa na Kampuni hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Bendera ( kushoto) akipata maelezo kutoka wa viongozi wa Kiwanda cha Magunia TPM ( kulia) kuhusu tatizo la soko
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( wapili kutoka kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TTPL, Paul Grossan ( wa kwanza kushoto) kuanagalia uchambuaji wa tumbaku
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe Joel Bendera ( watatu kutoka kulia) akiangalia utengenezaji wa magunia ya mkonge katika kiwanda cha Magunia Morogoro
Dada akiwa kazini katika kiwanda cha magunia |
Usokotaji wa kamba za mkonge. Picha na maelezo na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro
0 comments:
Post a Comment